Mtu Napenda

Spoken word..🎤

Mtu napenda

Mimi napenda msee ananicorrect but si kunicriticize
Si kunidharau juu ya my size
Napenda msee ananiambia ukweli ata Kama ina hurt
Napenda msee ananipenda na good heart,
Si mtu ananipenda tu na maneno
Narespect mtu anafall in love with my inner beauty
Ama eti juu niko naughty
Si mtu ananipenda juu ya my looks
Ama eti juu najua ku`cook
Narespect mtu anajiheshimu

Napenda msee ako na respect
Si msee wa kunifanya suspect
Si msee anajibeba juu ya pesa
Napenda msee huvalue wasee
Hata kama si mzee
Napenda msee wa values
Si ule msee wa kucruise around na land cruiser
Napenda ule mtu wa matendo
Si msee wa maneno tu
Napenda yule msee mreal mwenye haezi`nichocha
Eti niache kutry nikichoka
Yule mtu haezikukutoka,
Napenda mtu ananiambia nimelose it nikienda astray
Mtu akiwa nami hastrain
Relationship yetu ikuwe refu kuliko train
Napenda msee ananipenda vile niko
Nikuwe nimetumia phone kutake pic ama Nikon
Msee nikiwa kwa noma anakam hadi area code niko

Napenda mtu hatry kuwa perfect juu anajua no one is perfect,
Napenda mtu anareason kabla ya kutake move
Mtu anafikiria kabla ya kuongea
Napenda yule mtu ako steady kwa actions zake na anajiaminia
Napenda mtu mstrong na hatumii makali, labda tu strong tea
Huyo ndio mtu namtii
Napenda mtu hachukii ma`hater juu anajua hao ndio ujenga
Napenda mtu nikimake joke anacheka,
Mtu tunajengana ka beshte
Huyo ndio mtu nampenda.
Napenda ule beshte atastick na mimi for eternity
Si ule beshte ako na mimi only when things are neat
Ule beshte hataniback bite
And will instead give me a back to lean
Ule beshte atatell it on my face
And not go behind my face spreading rumours
Ule beshte mwenye hata nikimflash by mistake
Atacall back in a flash thinking am at stake

Si aty nataka msee perfect
Nadai tu msee ako all round kama circle
Sio msee anago round in cycles
Msee atagive it all for his country
Sio msee wa kutake it away from his country
Msee nikistick na yeye even just for a minute
Nitalearn kitu important hata kama ni minute

Napenda msee anajua value ya women
Sio ule wa kujisifu all time aty ‘We men’
Msee hawezi raise a finger at a woman
Unless he is wiping a tear
Msee anaprotect dame wake from all the fear
Na si aty yeye ndio fear the lady has to clear
Msee hawezi hurt feelings za her lady
Labda amheart , yaani kumuenzi ndio afeel special

© *Bibiana*
© *Lekey🎤*

Published by

bibianapoet

When everything about you is writing. And that becomes the only place you get your peace of mind.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s